1 Corinthians 15:5-7

5 ana kwamba alimtokea Kefa,
Yaani Petro.
kisha akawatokea wale kumi na wawili.
6 cBaadaye akawatokea wale ndugu waumini zaidi ya 500 kwa pamoja, ambao wengi wao bado wako hai, ingawa wengine wamelala. 7 dNdipo akamtokea Yakobo na kisha mitume wote.
Copyright information for SwhNEN